Tumepokea mabomba mapya ya maji. Hivyo basi huduma ya maunganisho kwa wateja wapya inaendelea kwa walioomba kupata huduma.
Usambazaji wa Maji Safi na Salama
Kusambaza maji kwa wateja kupitia mtandao wa mabomba na kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa maeneo yanayohudumiwa.









